Ruka hadi kwenye maudhui makuu

Machapisho

JAMBO LAKO SI KUBWA KWA MUNGU

Machapisho ya hivi karibuni

ONDOA JIWE

 Bwana YESU Asifiwe F:K Yohana 11:38-44 ONDOA JIWE KATIKA MAISHA YAKO Jiwe ni kikwazo  Jiwe ni uchoyo, uzinzi, uongo, chuki, tamaa, masengenyo n.k. Katika Kijiji kimoja kulikuwa na Mzee mmoja aliyeitwa Onyango alichimba kisima na kilikuwa kikisaidia wanakijiji kupata maji. Siku Moja wanakijiji walikwenda kuteka maji kisimani lakini kwa Bahati mbaya hakukuwa na maji kisimani Kila mtu alishangaa maji kutotoka katika kisima chao Cha asili. Wengine walisema Kuna bibi kizee pale kijijini ndiye alikuwa amezuiya maji kwa mbinu za kishirikina. Watu walimchukia sana, wengine wakataka hata kumuua yule bibi kizee. Siku Moja Mzee Onyango aliamua kwenda kisimani ili kujua Kulikuwa na tatizo gani lililozuiya maji kutoka. Katika uchunguzi wake aligundua kuwa katika Moja ya chemichemi iliyokuwa Ina saidia kutoa maji katika kisima ilikuwa imezibwa na jiwe. Alipolitoa jiwe tu maji yakaruka Kwa nguvu na baada ya muda si mrefu kisima kilikuwa kinaanza kujaa maji.  Fundisho -Mara nyingi katika maisha vitu